Nimejikubali nina virusi vya Ukimwi na kujifunza kuishi navyo

Nimejikubali nina virusi vya Ukimwi na kujifunza kuishi navyo

Mwanamke mwenye umri wa miaka 25, akiri kuishi na virusi vya ukwimi nchini Kenya. Doreen Moraa Moracha,aligundua anaugua virusi hivyo alipokuwa na miaka 13 pale daktari alipomuuliza mamake iwapo anafahamu kwamba mwanawe ana virusi hivyo.

Video: Anthony Irungu