Habari za Global Newsbeat 1000 30/03/2018

Habari za Global Newsbeat 1000 30/03/2018

Watoto wa mtaani mjini Lagos wamekuwa gumzo kwenye mtandao baada ya video yao wakicheza, kuzungumziwa na Rihanna, Naomi Campbell na P Diddy. Usikose kuitazama video hii kwenye tovuti yetu bbc.com.