Habari za Global Newsbeat 1500 30/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 30/03/2018

Tembelea tovuti yetu bbc.com uone video ambapo kijana mmoja akiwa na mjombake katika safari kwenye mbuga ya wanyama nchini Tanzania, walikumbana na chui aliyepanda gari lao na kukaa kwa dakika kumi kisha akashuka na kwenda zake.