Habari za Global Newsbeat 1000 02/04/2018

Habari za Global Newsbeat 1000 02/04/2018

Mugizaji wa Uingereza na mwanasiasa wa chama cha Leba , Glenda Jackson amerudi katika nyaja ya uugizaji baada ya miongo mitatu. Muigizahji huyo mwenye umri wa miaka 81 aliigiza kwenye filamu ya Three Tall Women kwani filamu hiyo iliwajumuisha wanawake pekee.