Habari za Global Newsbeat 1500 02/04/2018

Habari za Global Newsbeat 1500 02/04/2018

Waziri mkuu mpya wa Ethiopia Dkt Abiy Ahmed ameapishwa rasmi na Bunge la taifa hilo kama Waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.Anachukua nafasi ya Hailemariam Desalegn, ambaye alijiuzulu mwezi uliopita.