Haba na Haba: Wanaume wanatimiza wajibu wao katika familia Tanzania?

Katika Haba na Haba wiki hiii, tunaangazia mchango wa wanaume katika familia Tanzania. Je, wanatekeleza wajibu wao kikamilifu?