Gold Coast: Mtanzania Fatuma Elmi asimulia maisha yalivyo Australia

Fatuma Elmi alihamia Brisbane miaka 23 iliyopita kutoka Arusha, Tanzania.

Na katika mfululizo wa makala ya maisha ya wakaazi wa Afrika Mashariki na Kati katika jimbo la Queensland akizungumza na mwandishi wa BBC John Nene anaeleza watoto wao wanavyowasumbua huko na sheria zinavyowalinda.