Winnie Mandela: Maisha ya Mwanaharakati aliyepigania usawa Afrika Kusini

Taswira ya maisha ya mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi ,Winnie Mandela, aliyefariki akiwa na miaka 81.

Maelezo ya picha,

Winnie Madikizela Mandela aliitwa " Mama wa Taifa" kwa kazi ya yake dhidi ya ubaguzi

Maelezo ya picha,

Alikuwa ishara ya mapigano dhidi ya ubaguzi wa rangi pamoja na aliyakuwa mume wake laiti Nelson Mandela, kwa karibu miongo mitatu

Maelezo ya picha,

Alitiwa rumande mara kadhaa katika utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini

Maelezo ya picha,

Alikutana na viongozi wa kimataifa - kama vile Senata wa Marekani Edward Kennedy - kujaribu kumtoa Bwana Mandela kutoa gerezani

Maelezo ya picha,

Alishutumiwa kuhusika na mauaji wa kijana wa umri wa miaka 14, aliyekuwa mpiganaji, Stompie Seipei (kwenye picha) - alizikana shtuma hizo

Maelezo ya picha,

Winnie and Nelson Mandela walitalakiana mwaka 1996, miaka 6 baada ya Bw Mandela kuachiliwa

Maelezo ya picha,

Winnie Mandela alikuwa mwana siasa mkongowa katika baada ya chama cha ANC party kuchukuwa madarakalakini muda wake haikuwa bila alama za kashfa

Maelezo ya picha,

Alibaki kuwa mtu maarufu katika jamii - hapa akionekana akimtia moyo mwanaraidha Caster Semenya - hata baada ya Mandela kuacha madaraka