Habari za Global Newsbeat 1000 03/04/2018

Habari za Global Newsbeat 1000 03/04/2018

Winnie Madikidzela Mandela ambaye aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 81, alikuwa kielelezo bora kwa mamilioni ya raia wa nchi hiyo, wakati alipopinga udhalimu wa utawala wa ubaguzi wa rangi.