Habari za Global Newsbeat 1000 04/04/2018

Wanasayansi wamegundua nyangumi wa aina ya Bowhead huwa wana njia mbalimbali za mawasiliano ikiwemo nyimbo. Utafiti unaonyesha nyangumi hao wapatikanao katika bahari ya Atlantic wanaweza kuimba kama vile ndege lakini wao nyimbo zao ni za aina nyingi.