Habari za Global Newsbeat 1500 04/04/2018

Usikose kuitazama video kwenye tovuti yetu bbc.com, ujionee hafla ya urembo iliyofanyika nchini Mexico, ambapo dhana kamili ni kuonyesha urembo tofauti na vile mataifa ya ulaya yamezoea kwani wanaoshiriki ni wasichana wenye kimo kifupi