Mwanamume raia wa Ethiopia anayetembea kwa mikono kwa saa sita
Huwezi kusikiliza tena

Dirar Abohoy: Mwanamume anayetembea kwa mikono kwa saa sita

Dirar Abohoy, amekuwa akitembea kwa mikono tangu utotoni.

Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 32 eneo la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia anapenda kutembea kwa mikono lakini si kila mtu anayefurahia kazi yake.

Mada zinazohusiana