Miki Deo: Mwanamitindo wa kipekee Tanzania

Mwanamitindo wa kipee wa Tanzania,Miki Deo ambaye anaugonjwa wa Vitiligo ana matumaini kuendeleza talanta yake na kuwa mwanamitindo wa kimataifa.