Habari za Global Newsbeat 1000 06/04/2018

Habari za Global Newsbeat 1000 06/04/2018

Tembelea tovuti yetu bbc.com, uone mfanyibiashara mmoja kutoka Hertfordshire Uingereza, anaamini kuwa na magari mengi zaidi ya kifahari ulaya. Rodger Didding alianza kukusanya magari miaka thelathini iliyopita na kwa sasa ana magari mia nne ya kifahari.