Habari za Global Newsbeat 1000 09/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 09/04/2018

Wanandoa kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni walijitokeza kushiriki katika shindano la kuwabeba wake zao lijulikanalo kama UK Wife Carrying Race. Ilikuwa ni makala ya 11 ya mashindano hayo.

Tembelea tovuti ya bbc.com uitazame video hiyo ya kusisimua.

Mada zinazohusiana