Habari za Global Newsbeat 1500 09/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 09/04/2018

Wafanyakazi saba wamesimamishwa kazi baada ya mabehewa 22 yanayobeba abiria 1,000 kutoka kwenye treni na kurudi nyuma kwa kilomita 11 huko mashariki mwa India katika jimbo la Orissa. Magari yaliyodoroka yalisimamishwa na wafanyakazi wa reli baada ya kuweka miamba. Tembelea tovuti yetu bbc.com uone video hio ya kusisimua.

Mada zinazohusiana