Habari za Global Newsbeat 1000 10/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 10/04/2018

Ubomozi wa jengo moja huko Denmark uliopangwa na kutarajiwa utafanyika bila hitilafu yeyeyote,ulifanyika kinyume na matarajio kwani jengo hilo refu halikuanguka pale lilipotarajiwa. Tembelea tovuti yetu bbc.com uione video hio.