Habari za Global Newsbeat 1000 11/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 11/04/2018

Polisi Mjini Florida, Marekani, wanamtafuta dereva mmoja aliyeonekana kwenye kamera akimgonga kwa maksudi mtu aliyekuwa akiendesha pikipiki. Tembelea tovuti yetu bbc.com uione video hio ya kushangaza.