Shinikizo kubwa la kijamii India kwa wazazi kuwaozesha mabinti zao
Huwezi kusikiliza tena

Shinikizo kubwa la kijamii India kwa wazazi kuwaozesha mabinti zao

Wazazi nchini India mara nyingi hupata shinikizo kubwa la kijamii ili kupata mabwana wakamilifu kwa binti zao. Kwa kiasi kikubwa kwamba baadhi yao katika jimbo la Mashariki mwa India la Bihar kuishia kuteka wavulana nyara. Tembelea tovuti yetu bbc.com uone Roshan akisimulia masaibu hayo.