Habari za Global Newsbeat 1000 12/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 12/04/2018

Muandishi wa kitabu cha Living in Bath,Anna ambacho kinawarai watu kupata watoto wachache amesema yeye mwenyewe binafsi ameamua kutopata mtoto akidai hiyo ndio njia pekee ya kuiokoa dunia.

Je, wakubaliana na muandishi huyo?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com