Habari za Global Newsbeat 1500 12/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 12/04/2018

Mtoto amezaliwa China kupitia mwanamke aliyebeba uja uzito, miaka minne baada ya wazazi wa mtoto kufariki katika ajali ya gari.Wazazi hao waliofariki mnamo 2013, walitoa mayai kadhaa yaliogandishwa kwa matumaini kwamba watazaa kupitia mfumo wa IVF.

Je, tecknolojia ya kuyahifadhi mayai ya uzazi inastahili kuboreshwa?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com