Habari za Global Newsbeat 1000 13/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 13/04/2018

Utafiti mpya unaonyesha ya kwamba kunywa pombe mara moja kwa siku kunaweza kuyapunguza urefu wa maisha yako. Uchunguzi wa wanywa pombe 600,000 ulionyesha kuwa unywaji wa vileo mara tano au kumi kwa wiki kwaweza kupunguza hadi miezi sita ya maisha ya mtu.