Habari za Global Newsbeat 1000 17/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 17/04/2018

Mwanamke mmoja nchini Uingereza amekuwa mtumwa kwa miaka 20.Sara amekuwa akifanya kazi ya usafi kwa zaidi ya saa 20 katika shule moja ya taasisi lakini hakuna mtu aliyegundua hilo. Je, utumwa bado ungalipo nchini mwako? Tujadiliane kwenye Facebook BBCNewsSwahili.com