Habari za Global Newsbeat 1000 18/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 18/04/2018

Wazazi ambao mtoto wao ameishi kwa muda mrefu kwa usaidizi wa mashine huko Marseyside wameiomba mahakama kuu kusikiliza ombi lao kwa mara ya pili la kumtoa uhai mtoto huyo wa miezi 23.

Je, wazazi hao haruhusiwe kumtoa uhai mtoto huyo? Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com