Wanaume waliodaiwa kuwatelekeza watoto wazungumza Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Wanaume waliodaiwa kuwatelekeza watoto wazungumza Tanzania

Wanaume zaidi ya mia sita (600) nchini Tanzania wameitika wito wa Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwenda kujitetea dhidi ya tuhuma za kuwatelekeza watoto.

Baadhi ya wanaume hao wamedai kushangazwa na zoezi hilo kinyume na shutuma dhidi yao wao ndiyo waliotelekezwa na wake zao .

Mwandishi wa BBC Arnold Kayanda ametuandalia taarifa hii kutoka Dar es Salaam.