Habari za Global Newsbeat 1500 19/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 19/04/2018

Wanasayansi wa chuo kikuu cha London wamesema watoto mapacha hufanya vyema shuleni endapo mazungumzo maalum yatafanywa kati ya wazazi, walimu,na watoto hao.

Je, ni kweli watoto mapacha hufanya vyema wakiwa kwenye darasa moja au la?

Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com