Habari za Global Newsbeat 1500 23/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Timu ya wanasayansi wa kimataifa imegundua aina mpya ya wadudu wanaolipika kujikinga

Timu ya wanasayansi wa kimataifa imegundua aina mpya ya wadudu wanaolipika kujikinga Wadudu hawa wanaoishi kwenye Mchanga wanapatikana Kusini Mashariki mwa Asia na wanatumia tabia hio ya kulipuka ili kujihami.tembelea tovuti yetu bbc.com uone video