Habari za Global Newsbeat 1000 24/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 24/04/2018

Mwananmke mmoja ametozwa faini ya dola mia tano na shirika la kutoza ushuru Marekani kulipia tunda la tufaha alilopewa kama kitafunio kwa ndege , lililopatikana kwenye mkoba wake. Alisema aliweka tunda hilo ili ale baadaye safarini. Je, unadhani ni haki mwanamke huyo kulipa faini kwa sababu ya tunda hilo? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBC Swahili