Habari za Global Newsbeat 1500 26/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Jinsi wenyeji wa kijiji cha Longwa wanavyoishi mpakani wa nchi za Myanmar na India

Jinsi wenyeji wa kijiji cha Longwa wanafurahia kuishi katika nchi mbili ambazo ni Myanmar na India kwani nyumba zao zipo katikati ya mpaka wa nchi hizo mbili.