Habari za Global Newsbeat 1000 27/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 27/04/2018

Maonyesho ya maiti ya binadamu iliyohifadhiwa imezua utata Australia. Watu wanahofia huendamiili hiyo ni ya Wafungwa waliouawa wa Kichina au wafungwa wakisiasa. Waandalizi wa maonyesho hayo hata hivyo wamekana madai hayo wakisema waliipata mili hiyo kihalali kutoka chuo kikuu cha matibabu nchini China. Je unaweza kuhudhuria maonyesho ya aina hii? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcswahili.