'Rhino Power' kutoka Kenya anatafuna misumari na kuvuruta magari kwa kutumia meno yake
Huwezi kusikiliza tena

'Rhino Power' kutoka Kenya anatafuna misumari na kuvuta magari kwa kutumia meno yake

Patrick Chege Kariuki amepata umaarufu Kenya kwa kuwa mtu mwenye nguvu kubwa kutokana vituko vyake vya hatari. 'Rhino Power' kama anvyojulikana kwa umaarufu nchini Kenya, anatafuna misumari na kuvuruta magari kwa kutumia meno yake.

Mada zinazohusiana