Vijana wa Kisomali watumia Youtube kuielimisha jamii
Huwezi kusikiliza tena

Vijana wa Kisomali watumia Youtube kuielimisha jamii

Vijana wa Kisomali kwa jina 'Somalia React' wajipatia umaarufu katika Youtube kwa kuangazia kwa ucheshi masuala ya kijamii. Wanalenga kuwafikia vijana zaidi kupitia mitandao mingine ya kijamii.

Tazama hii:

Mada zinazohusiana