Habari za Global Newsbeat 1500 01/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 01/05/2018

Duka la kupikia mkate huko Kaskazini mwa Ireland limefikishwa mahakamani kwa kosa la kukataa kupika keki yenye ujumbe wa kuunga mkono ndoa za wapenzi wa jinsia moja.

Je, imani yako inastahili kuathiri biashara yako?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com