Habari za Global Newsbeat 1000 02/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 02/05/2018

Mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg,amesema mtandao wake wa kijamii utaanza kutoa huduma ya kuwauganisha wapenzi kwa uhusiano wa kudumu na usalama wa mtandao huo utaimarishwa ili kuficha siri za wapenzi hao.

Je, wewe uko tayari kutumia mtandao wa kijamii kujitafutia mchumba?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com