Ningependa kufanya kazi na wasanii wa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Nyashinski: Ningependa kufanya kazi na wasanii wa Tanzania

Mwanamuziki maarufu kutoka Kenya Nyashinski ameeleza nia yake kubwa ya kufanya kazi na wasanii wa kanda ya Afrika Mashariki hususan wasanii kutoka Tanzania 'kampuni ya Wasafi.

Amesema haya katika mazungumzo ya kina na mwanahabari wa BBC Anthony Irungu kuhusu muziki wake, na umaarufu wake.

Alikuwa amechukua likizo ya miaka kumi kutoka kwenye muziki lakini akarejea kwa kishindo mwaka jana.

Mada zinazohusiana