Habari za Global Newsbeat 1500 07/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 07/05/2018

Zaidi ya wakimbizi elfu tatu kutoka Nigeria walioshindwa kufika Ulaya wamerudishwa nyumbani na shirika la kimataifa la wakimbizi. Wengi wao waliuza kila kitu walichokuwa nacho ili kufanikisha safari hio. Waweza kuuza kila kitu ulicho nacho ili kuhamia nchi nyingine? Tueleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCswahili.com