Habari za Global Newsbeat 1000 09/08/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat: Dawa mpya ya kutibu upara yapatikana

Tiba ya kutibu upara imepatika. Dawa ya tiba hiyo ilikuwa hapo awali ikitumika kutibu mifupa.

Je ukosefu wa nywele kichwani humfanya mtu kutojiamini? Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com