Habari za Global Newsbeat 09/05/2018: Je, ni chuo kiuu ngani ungependa kusomea ulimwenguni?
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 09/05/2018: London yatangazwa kuwa mji bora zaidi kwa wanafunzi duniani

London imeorodheshwa kuwa mji bora kote ulimwenguni kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Hapo awali mji wa Montreal na Paris ndio iliyokuwa imeorodheshwa kuwa miji bora.

Je wewe ungependa kusoma katika chuo gani ulimwenguni na kwa nini?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com

Mada zinazohusiana