Habari za Global Newsbeat 1000 14/052018
Huwezi kusikiliza tena

Umuhimu wa uhuru kwa watoto wanapokuwa

Baba ya watoto sita anayeishi katika kijii kimoja huko magharibi mwa Finland amewaruhusu watoto wake kufanya watakalo kama njia ya malezi bora kwa watoto wake?

Je ni njia gani ya kuwalea watoto vyema katika karne hii?

Tuwasiliane kwenye facebook BBCSwahili.com