Habari  za Global Newsbeat 1500 14/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 14/05/2018

Baada ya taarifa kwamba Mwanamfalme Harry atamuoa mpenzi wake ambaye ni muigizaji nchini Marekani Meghan Markle,mitandao ya kijamii ilishuhudia ujumbe mbalimbali za furaha kwani familia hiyo ya kifahari itamkaribisha mmoja asiyetoka kwenye familia ya kifalme.