Habari za Global Newsbeat 1000 18/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Wahamiaji watishiwa kutotumia lugha kihispania nchini Marekani

Video ya mtu anayetishia kuwaripoti wafanyakazi wa mgahawa walugha ya Kihispania kwa mamlaka ya uhamiaji ya Marekani, imepata umaarufu kwenye vyombo mitandao ya kijamii.

Je, ukitishiwa maisha na mtu kwa sababu ya lugha unayoongea, utachukua hatua gani? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcSwahili.