Kwa Picha: Harusi ya kifalme ya Prince Harry na Meghan Markle

Mkusanyiko wa picha za kuvutia zaidi kutoka kwa harusi ya kifalme kati ya Mwanamfalme Harry na Meghan Markle.

Prince Harry, Duke of Sussex and the Duchess of Sussex in the Ascot Landau carriage during the procession after getting married Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Umati ulishangilia Mwanamfalme Harry, ambaye sasa atakuwa Mtawala wa Sussex, na mkewe Meghan, Mke wa Mtawala wa Sussex, walipopitia kwenye barabara za mji wakiwa kwenye kigari cha kuvutwa kwa farasi
Crowds cheer for Prince Harry, Duke of Sussex, and his wife Meghan, Duchess of Sussex Haki miliki ya picha EPA
Image caption Inakadiriwa kwamba 100,000 walijitokeza barabara za Windsor
Prince Harry, Duke of Sussex and his wife Meghan, Duchess of Sussex set off in the Ascot Landau Carriage Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Umati wa watu ulikusanyika kando ya barabara kutazama msafara wa harusi ukipita
Prince Harry and Meghan Markle Haki miliki ya picha PA
Image caption Meghan na Mwanamfalme Harry wakiondoka kanisa la St George
Doria Ragland, mother of the bride, the Prince of Wales and the Duchess of Cornwall walk down the steps of St George's Chapel in Windsor Castle after the wedding of Prince Harry and Meghan Markle Haki miliki ya picha PA
Image caption Doria Ragland, mamake bi harusi, Charles Mtawala wa Cornwall (babake Harry) na mkewe Camilla wakiondoka kanisani
Prince Harry and Meghan Markle leave St George"s Chapel in Windsor Castle after their wedding Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Wakiondoka kanisani
Meghan Markle and Prince Harry kiss on the steps of St George's Chapel Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Waliokuwemo walishangilia wawili hao walipokuwa wanapigana busu
Prince Harry and Meghan Markle kiss on the steps of St George's Chapel in Windsor Castle Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Wawili hao wakipigana busu
Prince Harry and Meghan Markle leave St George's Chapel in Windsor Castle after their wedding Haki miliki ya picha PA
Image caption Wawili hao wakiondoka kanisani baada ya kufunganishwa katika ndoa
Prince Harry and Meghan Markle Haki miliki ya picha PA
Image caption Harry na Meghan sasa watakuwa Mtawala na Mke wa Mtawala wa Sussex
Queen Elizabeth II and Prince Phillip during the wedding service Haki miliki ya picha PA
Image caption Malkia na mumewe, Mwanamfalme Phillip walihudhuria sherehe hiyo
Meghan Markle Haki miliki ya picha PA
Prince Harry and Meghan Markle in St George's Chapel at Windsor Castle during their wedding service Haki miliki ya picha PA
Image caption Mwanamfalme Harry akimfunua Meghan
Most Rev Bishop Michael Curry Haki miliki ya picha PA
Image caption Kasisi Michael Curry, mkuu wa kanisa la Episcopal la Marekani ndiye aliyetoa mahubiri, ambapo aliangazia dhana ya upendo
Prince Harry and Meghan Markle Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mwanamfalme Harry na Meghan Markle
Prince Harry looks at his bride, Meghan Markle, as she arrives accompanied by the Prince of Wales Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Bi Markle alipokelewa na Mwanamfalme Charles (babake Harry) na kusindikizwa hadi kwenye madhabahu. babake, Thomas, anaugua
Meghan Markle walks down the aisle as she arrives in St George's Chapel at Windsor Castle Haki miliki ya picha PA
Image caption Bi Markle na wasichana na wavulana wasaidizi wa harusi wakiingia kanisani. Mwanamfalme George na Bintimfalme Charlotte walikuwa miongoni mwa wasimamizi wa harusi hiyo
Meghan Markle arrives at St George"s Chapel at Windsor Castle Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Meghan Markle alifika Windsor Castle akiwa amevalia vazi la harusi lililokuwa limeshonwa na Mwingereza Claire Waight Keller
Meghan Markle with her mother Doria Ragland drive down the Long Walk as they arrive at Windsor Castle Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Meghan Markle aliondoka hotelini alimolala kuelekea Windsor Castle akiwa na mamake Doria
The Duchess of Cambridge arrives with the bridesmaids at St George"s Chapel at Windsor Castle Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mke wa Mwanamfalme William, Kate, aliwasili na wasichana na wavulana waliosimamia harusi hiyo
Prince Harry and Prince William Haki miliki ya picha Rex/Shutterstock
Image caption Mwanamfalme Harry alionekana mtulivu akiwapungia mkono waliokuwa wamefia kufuatilia harusi hiyo, alipokuwa anaelekea kanisani na kakake
Prince Harry and Meghan Markle in St George"s Chapel Haki miliki ya picha Reuters
Prince Harry and Meghan Markle in St George"s Chapel at Windsor Castle Haki miliki ya picha PA
Image caption Mwanamfalme Harry na Meghan Markle katika kanisa la St George kasri la Windsor Castle
meghan markle dress
Image caption Bi Meghan Markle akiwasili Windsor Castle
Princes Harry and William Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mwanamfalme Harry na msimamizi wake kwenye harusi, kakake Mwanamfalme William
Meghan markle in veil in car Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Bi Markle akiondoka hoteli ya Cliveden House akiandamana na mamake Doria
Well-wishers gather along the Long Walk leading to Windsor Castle ahead of the wedding and carriage procession of Britain's Prince Harry and Meghan Markle in Windsor Haki miliki ya picha TOLGA AKMEN/AFP
Image caption Watu wengi wamekusanyika Windsor kufuatilia harusi hiyo
Police offers and spectators gather on the Long Walk ahead of the wedding of Prince Harry and Meghan Markle. Haki miliki ya picha Hannah McKay/Reuters
Image caption Watu hadi 100,000 wanatarajiwa kukaa kwenye barabara za mji huo kutazama msafara wa harusi
Royal fans gather ahead of wedding of Britain's Prince Harry to Meghan Markle in Windsor, Britain, 19 May 2018. Haki miliki ya picha Hannah McKay/REUTERS
Image caption Wengi walifika kwa treni, magari na mabasi kutoka kila pembe na Uingereza na hata nje ya nchi hiyo
Well-wishers arrive on the Long Walk leading to Windsor Castle ahead of the wedding and carriage procession of Britain's Prince Harry and Meghan Markle in Windsor, on May 19, 2018 Haki miliki ya picha DANIEL LEAL-OLIVAS/afp
Image caption Waliofika wakitembea kwenye barabara inayofahamika kama Long Walk kuelekea Windsor Castle.
Royal fans on the Long Walk in Windsor ahead of the wedding of Prince Harry and Meghan Markle Haki miliki ya picha Peter Summers/PA
Image caption Baadhi walikesha karibu na Windsor usiku kuhakikisha wanapata nafasi bora zaidi ya kujionea msafara wa harusi
Idris Elba and Sabrina Dhowre, followed by Oprah Winfrey, arrive at St George's Chapel Haki miliki ya picha PA
Image caption Wageni mashuhuri, wakiwemo Oprah Winfrey na Idris Elba, wamefika kwa sherehe hiyo St George's Chapel, Windsor Castle
Royal fans line the streets ahead of the royal wedding ceremony of Britain's Prince Harry and Meghan Markle at St George's Chapel in Windsor Castle, in Windsor, Britain, 19 May 2018. Haki miliki ya picha TOM NICHOLSON/EPA
Image caption Watu wa kawaida 1,200 - wengi wao wafanya kazi wa kusaidia jamii - walialikwa kwa harusi hiyo
Flowers and foliage surround the West Door and steps of St George's Chapel at Windsor Castle for the wedding of Prince Harry to Meghan Markle Haki miliki ya picha Danny Lawson/PA
Image caption Kanisa la St George limepambwa kwa maua na matawi
Flowers and foliage surround the High Altar of St George's Chapel at Windsor Castle for the wedding of Prince Harry to Meghan Markle. Haki miliki ya picha Danny Lawson/PA
Image caption Kanisa la St George ndani ambapo pia limepambwa kwa maua na matawi

Picha zote zina hakimiliki.

Mada zinazohusiana