Prince Harry lifts Meghan's veil
Huwezi kusikiliza tena

Harusi ya Kifalme 2018: Prince Harry alipomfunua Meghan Markle kumtazama

Mwanamfalme Harry na Meghan Markle walionekana wenye kufurahiana na tabasamu tele wakati wa harusi yao. Wakati wa mahubiri, walishikana mikono na Harry alionekana kuuchezea na kuutazama mkono wa Meghan katika kanisa la St George.

Wakati wa Prince Harry kumfunua na kumtazama mke wake, hali ilikuwa vile vile.

Mada zinazohusiana