Migomba: Usiwe na pupa na papara kujiingiza katika ndoa
Huwezi kusikiliza tena

Migomba: Usiwe na pupa na papara kujiingiza katika ndoa

Mshehereshaji na mtaalamu anayewafundisha wasichana kabla hawajaolewa Tanzania Mariam Migomba anasema mapenzi na mahusiano hayahitaji papara.

Anasema muda mfupi kabla ya Ramadhani wasichana huwa wanafika kwake kupata mafunzo ya jinsi ya kukaa na mume lakini mafunzo yanakuwa hayasaidii kwa kuwa lengo la baadhi yao huwa sio upendo wa dhati.

Mada zinazohusiana