Mtoto kuzaliwa baada ya miaka 12 Brazil

Kisiwa kimoja nchini Brazil kimepinga marufuku ya wanawake kujifungua huko. Hata hivyo wanasherehekea baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa baada ya miaka kumi na mbili.Wanawake wa kisiwa cha Fernando de Noronha husafiri hadi bara wakiwa wajawazito.

Nini maoni yako kuhusu marufuku ya kujifungua?

Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.