Global Newsbeat 1500EAT 21.05.2018: Mwanamke anayetetea utoaji wa mimba Ireland

Katie Ascough anasema kwamba si vyema kupitisha sheria ya ya kuharamisha utoaji wa mimba nchini Ireland na kwamba wanawake huwa hawatoi mimba kwa kupenda.

Alikuwa mkuu wa shirika la wanafunzi katika chuo cha Dublin na kwa sasa anafanya kampeni nchini humo akiwahimiza watu wapige kura kuhalalisha uavyaji wa mimba.

Je, waweza kupiga kura inayohalalisha utoaji wa mimba?

Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCNewsSwahili.