Catherine Malle: Baada ya muda jela Tanzania, nilijifunza kusameheana

Catherine Malle, mfungwa wa zamani nchini Tanzania anazungumzia jinsi alivyofungwa jela akiwa na machungu.

Lakini baada ya kukaa huko kwa muda, alijifunza kusameheana na kumaliza kisasi alichokuwa nacho moyoni.