Global Newsbeat 22.05.2018 1500EAT: Wafungwa wanaozuiliwa bila silaha Brazil

Nchi ya Brazil inajulikana kuwa na jela kubwa kubwa ambazo mara kwa mara zinakosolewa kwa kuwa hali mbaya. Kuwa na wafungwa wengi kupita kiasi na makundi ya uhalifu.

Hata hivyo mfumo wa Apac ambapo jela hizo zinakaa bila walininzi na silaha umeanza kupata umaarufu. Je, mfumo wa kukosa walinzi na silaha jela, waweza kufaulu katika eneo lako? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili