Mwanamke uko tayari kumruhusu mume wako kuoa mke mwingine?

Je wajua kuwa katika ndoa za mitala upo uwezekano mume kuishi na wake zake hata watatu katika Nyumba moja? Katika maeneo mengi ya pwani ya Afrika mashariki, ndoa hizo zimeshamiri, Sababu kuu ikiwa suala la dini na utamaduni wa maeneo ya pwani, huku katika maeneo mengine likibaki kuwa mjadala mkali hasa kwa wanawake.

Munira Hussein ameitembelea familia moja kisiwani humo: