Mwanamke akamatwa kwa kumuoza mwanawe Uingereza

Mwanamke mmoja huko Uingereza alimlazisha mtoto wake mwenye umri wa miaka 18 kuelekea nchini Pakistan kuolewa na jamaa yake mwenye umri wa miaka 34. Mama huyo amehukumiwa kwa kosa hilo nchini Uingereza. Ni sababu gani kuu hufanya mzazi kumuoza mwanawe?Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com